Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man city have allowed Manuel Pelegrini's Real Betis to train at the city's training ground ahead of their UEL clash against Manchester united.

Adui wa adui yako ni rafiki yako.
 
Kitakachompata Real Betis leo anajua Mungu pekee yake
Mdomo uliponza kichwa
JamiiForums-33146991.jpg
 
Manchester United wako tayari kutoa euro 130m (£115m) kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Eduardo Camavinga, 20, kutoka Real Madrid. (Fichajes – in Spanish)
Mshambulizi wa Tottenham na England Harry Kane, 29, yuko kwenye orodha ya usajili ya meneja wa Manchester United Erik ten Hag, kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji wa Ghana Mohammed Kudus, 22 kutoka klabu ya zamani ya Mholanzi huyo Ajax. (TalkSport)
Lakini United watataka kuwauza wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza, akiwemo beki wa Uingereza Harry Maguire, 30, ili kutoa nafasi kwa wachezaji wapya msimu huu wa joto. (ESPN)
 
Hapa kwa Camavinga ndio uhakika.
 
Man city have allowed Manuel Pelegrini's Real Betis to train at the city's training ground ahead of their UEL clash against Manchester united.

Adui wa adui yako ni rafiki yako.
🤣🤣🤣🤣Kawaida hii,
 
Wacha tuone leo wamejifunzaa au wanaenda kuruka uwanjani leo betis wapigwe pressing mwanzo mwisho. Matokeo mazuri ya leo ndo yanaweza kufuta kelele wiki hii maana ni ndefu mno.
 
Back
Top Bottom