Hii mijamaa inajua kupaki basi kama Chelskis....
Nimeshangaa sana kamuingiza Wellbeck
Poa tuu rubaman ninaangalia chama langu ila majeruhi wanazidi kuwa wengi tuu .. ila nina uhakika mpira ukiisha watu watasema man utd walikuwa wanacheza na tawi lao
Hii game imekuwa ngumu sasa...nafasi ya kufanya sub sasa ni moja tu...RvP hawezi kucheza hadi dakika 90...
DM inabidi aumize kichwa kweli...maana hii gemu ni ya kushinda...kama Everton na Spurs wakipigwa (hadi HT wote wapo nyuma kwa goli 1), kushinda ni muhimu sana...
Twende sasa #ManUnited
Mkuu kocha bado tatizo Sana, anashindwa kufanya sub za naana inabidi Van Persie, Rooney na Mata waoneshe Tu uwezo wao binafsi mimi sikubaliani na mfumo wa kutumia winga mmoja then unajaza forward Kati wengi ukiwa huna kiungo mkabaji wa maana na hata beki huna