anatabia za kishabiki sio za ki manager ...
Huwa namshangaa Sana na kauli za "I will beat ...." Manager wanaojitambua dunia wakubwa maneno kama hayo hawawezi kuongea kwenye camera,wanaongea dressing room huko na wachezaji ....
Klopp ,pep ,morhino ,carlo huwezi mkuta anaongea pumba za namna hio hata kama anacheza na underdog .....!!
I will beat ....I will beat hizo ni kauli za mashabiki kama sisi ....sio profession al manager