Lile lilikua goli la 8 kudadeki,leo watu wameshikishwa adabu kwenye soka 😂😂😂😂Diogo jota kafanya uchoyo hii mechi ilikuwa 8 bila mwana ukomeee
Ndio 7?!?!🤣Win or Loose...We are United
GGMU
Dish limeyumba hukoMan U 3 vs 1 Liverkuku
7 tu ndo umezima simu huko WhatsApp ukifungwa 100 si utakufa🤣🤣DAIMA MIMI MANCHESTER UNITED HATA TUFUNGWE 100.
naamini tutarudi tena tukiwa imara zaidi.
NYIE LOOSERFOOL HAMJAIFUNGA MAN UTD ISIPOKUWA MUMEUFUNGA UCHOVU.
#GGMU
Hata kama ni uchovu ndio mle 7? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]DAIMA MIMI MANCHESTER UNITED HATA TUFUNGWE 100.
naamini tutarudi tena tukiwa imara zaidi.
NYIE LOOSERFOOL HAMJAIFUNGA MAN UTD ISIPOKUWA MUMEUFUNGA UCHOVU.
#GGMU
Kamanda, leo tukashabikie vita ya urusi na ukraine.Alhamisi europa
Jumapili soton
Mwarabu apewe timu haraka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]mmmmhh[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]