Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu mpira nimeutazama leo banda umiza, yaani nimecheka mno..!! Kuna wadau wana maneno mule balaa..!!
Binadamu ni wanafki sana, kuna Mawatu yalikuwa yameibetia Man Utd kushinda hii mechi, yalivyoingia magoli mawili wakadai hii mechi itafanyika come back na Man Utd itashinda, yalivyoingia magoli matatu wakadai itaisha suluhu, walipofungwa magoli matano wakaigeukia Liverpool wakiishangilia na kuizomea Man Utd wakisema "bado la saba, bado la saba" daaah hatimaye yakawa kweli....
 
Kuna watu na viatu vya pumbu hao ni viatu vya pumbu mkuuu
 
Man U kinachowaweka mjini kwa miaka 10 hii ni mdomo tu. Kuongea mnajua lkn mpira hamna kitu. Mkishinda game tano mfululizo basi maneno meeeengi. Haya chukueni 7 hizo mjione jinsi mlivyo wabovu.

Tangu astaafu Web timu hii ni bure kabisa
Hela usiwe nazo
Kiwango usiwe nacho
Na mdomo ukose.

Tuacheni tuchape mdomo bwana ndo raha ya ushabiki shabiki mnakuwa kama hampo vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…