Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,468
Kaone kwanza haka ka-pisi kali ka Chelsea FC kalivyo kanafki kwa kung'ata huku kanapuliza [emoji1]Poleni bhaana ndiyo mpira, wenzenu blues tushajizoelea maumivu hata hatushtuki tena..!!
Ila tuache utani 7 nyingi mno..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Let's wait for full Time bado lipo tumaini
Acha ujinga maana hainogi kama Arse8 bhana [emoji847]Man week fc
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwisho wa msimu ndio maana hua tunamaliza na GD 0.
Liverpool ni timu isiyokua na utu hata kidogo kila inapokutana na Man Utd.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mashabiki hawajakupiga kweli?Daah banda zima Liverpool nilikua peke yangu tu [emoji4][emoji4],walipokua wanatukosa kosa wanashangilia
Mambo yalipogeuka nikashangaa naongea peke yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binadamu ni wanafki sana, kuna Mawatu yalikuwa yameibetia Man Utd kushinda hii mechi, yalivyoingia magoli mawili wakadai hii mechi itafanyika come back na Man Utd itashinda, yalivyoingia magoli matatu wakadai itaisha suluhu, walipofungwa magoli matano wakaigeukia Liverpool wakiishangilia na kuizomea Man Utd wakisema "bado la saba, bado la saba" daaah hatimaye yakawa kweli....[emoji4]Huu mpira nimeutazama leo banda umiza, yaani nimecheka mno..!! Kuna wadau wana maneno mule balaa..!!
Hata hivyo tumewafanyia ubinadam[emoji1787]Mwisho wa msimu ndio maana hua tunamaliza na GD 0.
Liverpool ni timu isiyokua na utu hata kidogo kila inapokutana na Man Utd.
Kuanzia msimu wa 2018 united lazima apigwe tano kuja juu.
JjiemuyuWin or Loose...We are United
GGMU
Kuna watu na viatu vya pumbu hao ni viatu vya pumbu mkuuuBinadamu ni wanafki sana, kuna Mawatu yalikuwa yameibetia Man Utd kushinda hii mechi, yalivyoingia magoli mawili wakadai hii mechi itafanyika come back na Man Utd itashinda, yalivyoingia magoli matatu wakadai itaisha suluhu, walipofungwa magoli matano wakaigeukia Liverpool wakiishangilia na kuizomea Man Utd wakisema "bado la saba, bado la saba" daaah hatimaye yakawa kweli....[emoji4]
Hela usiwe nazoMan U kinachowaweka mjini kwa miaka 10 hii ni mdomo tu. Kuongea mnajua lkn mpira hamna kitu. Mkishinda game tano mfululizo basi maneno meeeengi. Haya chukueni 7 hizo mjione jinsi mlivyo wabovu.
Tangu astaafu Web timu hii ni bure kabisa