fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,850
- 24,423
Umekalia kwa wapi mkuu?🤣🤣Watu wanafikiria hii mechi Man anafungwa watakuwa wanakosea sana
Umekalia kwa wapi mkuu?🤣🤣Watu wanafikiria hii mechi Man anafungwa watakuwa wanakosea sana
Tumaini huyuhuyu wa kiwewe?Let's wait for full Time bado lipo tumaini
Leo no aibu kwa kweli, labda mnawezafanya yale maajabu ya 98 UEFA🤣🤣🤣Use.nge mtupu..
Hata siangalii tena
Kweli kabisa,mpira wa ujanja ujanja kwasasa hauna maanaTuache ujanja ujanja
Tufundishe mpira na huwa mpira halisi una take time