Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kweli fear factor imekufa, jinsi stoke wanavyowapeleka puta utazani mmegeuka Mecco vs lipuli. Usually Stoke City ni watu wa ku defend 11 people behind the ball lakini
 
kweli fear factor imekufa, jinsi stoke wanavyowapeleka puta utazani mmegeuka Mecco vs lipuli. Usually Stoke City ni watu wa ku defend 11 people behind the ball lakini

Timu ipo nafasi ya 7 imaiogopa jee ingekuwa ipo nafasi ya 2 ingekuwaje?
 
Timu ipo nafasi ya 7 imaiogopa jee ingekuwa ipo nafasi ya 2 ingekuwaje?
Hahahaha hakuna anayeiogopa Man U siku hizi afu mwaka huu mkimaliza nafasi ya 6 itakuwa ndo kama ubingwa wenu.. What's Mata now LOL? Anyway, mambo vipi mkuu?
 
Majanga ya Majeruhi tena upande mmoja wa mabeki. Sub ya wellback inaweza kutuletea tabu
 
Tumeshapoteza CB wawili,game imeshakuwa ngumu
 
Ebana nani huyo kaumia? Naona Moyes kashapandwa na desperation mapema mapema Welback ndani ya timu au sio?
 
BfZhzGTCUAAwGtf.jpg:large

Mata's shot was blocked...
 
Poa tuu rubaman ninaangalia chama langu ila majeruhi wanazidi kuwa wengi tuu .. ila nina uhakika mpira ukiisha watu watasema man utd walikuwa wanacheza na tawi lao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom