Somo zuri sana hili la managerial skills,inaonesha wenzetu wanaangalia zaidi output kuliko position. I am not suprised RUI FARAI na Maurinho walifuatana kila mahali na RUI alipenda zaid kuwa assistant.View attachment 2535228
Kocha mkuu steve McLaren akiwa na msaidizi wake erik ten hag
View attachment 2535230
Kocha mkuu erik ten hag akiwa na msaidizi wake steve McLaren
Maisha yanaenda kasi sanaView attachment 2535228
Kocha mkuu steve McLaren akiwa na msaidizi wake erik ten hag
View attachment 2535230
Kocha mkuu erik ten hag akiwa na msaidizi wake steve McLaren
Ujinga huo huwa tunawaachia As'anal nashangaa shabiki wa man u eti naye anaongea ki As'anal As'anal.Kwa hiyo mchezaji akiwa mzuri hatma yake ni madrid?
So, man u ni timu ndogo?Yap ni mfano wa timu kubwa
Kwa kawaida man u huwa inauza mchezaji isiyemhitaji.Haendi popote. Zama zimebadilika. Hatuuzi tena wachazaji kizembe
Watu wanaakili bhn.Nimecheka sana hii clip[emoji23][emoji23][emoji23]
The magician 10 HagView attachment 2534672
Sema South American player kiwango kikiwa kikubwa wanapenda kwenda Real au Barcelona.Yap ni mfano wa timu kubwa
Labda kwa minajili hiyo. Lakini sio eti timu ije kuweka dau kwa best players wetuKwa kawaida man u huwa inauza mchezaji isiyemhitaji.
Tukutane nae nusu/fainali europerYule jamaa anamasifa sana ila mpira wake ni wakuotea otea tu sijui angekuwa na consistence kama Debrune sijui ingekuwaje.