Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 628
- 930
Greenwood habari yake ishaisha hata Southgate kasema hatomwita timu ya taifa.
Kwani ni kocha nae uyo Southgate
Greenwood habari yake ishaisha hata Southgate kasema hatomwita timu ya taifa.
Pale anfield bhana wewe,, hua muna rambwa sanaNjoo kumbuka usije namatokeo mkonon maana utalud umevimba mashavu


TeamUkikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?
Ni mtegoNyumbuuuuu,, Nawaona mnavyo ogopa, sisi leo tupo hapa hatubandukii,,, kama mlivyo fanya jana kwenye thread yetu,,
Ww utakubr tuPale anfield bhana wewe,, hua muna rambwa sana![]()
Kama wewe tuvyokupiga 8 pale kwenye vitofali vya kuchoma OTPale anfield bhana wewe,, hua muna rambwa sana![]()
Hili ndio la umuhimu kiupande wetuMwarabu apewe timu haraka sana












Fred kafkisha 30???Happy 30th Birthday, Harry Maguire & Fred!![]()
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2537946View attachment 2537947
Ana miaka mingapi?..?Fred kafkisha 30???
Maguire mbona ata 27 bado









