Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Luke Shaw
Akihojiwa Na Piers Morgan

“Mchezaji Aliyenipa Wakati Mgumu Tangu Nmeanza Soka Ni Bukayo Saka,Alinipa Wakat Mgum Sana Kumkaba.Kuna Mda Niliomba Sub Lakin Kocha Akagoma,Akasem Pamban Tu Malacia Miguu Imejamu Huku Hamna Namna Malizana Naye"View attachment 2536249
Mashabk wa arsenal wanajichanya sana coz had sasa hata kikombe cha bata hawana
 
Mashabk wa arsenal wanajichanya sana coz had sasa hata kikombe cha bata hawana
Cry more
Fp9HNwfWYAAtLzr.jpg
 
Somo zuri sana hili la managerial skills,inaonesha wenzetu wanaangalia zaidi output kuliko position. I am not suprised RUI FARAI na Maurinho walifuatana kila mahali na RUI alipenda zaid kuwa assistant.

EtH anamkusanyiko wa skills nyingi sana. Makocha wote wataanza kumkimbia.
Na baada ya Rui Fariah kuondoka timu za Mourinho zikawa weak sana kimbinu.
 
Erik ten Hag: "I think we'll have players back, but I'm not sure if you have seen but yesterday [Wednesday] Luke Shaw was not available, so we expect him back."

"Sancho? Yeah he was ill but we have to wait how that develops, but I think as well [he should be back]

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
 
Klopp on Manchester United: "It is obviously not a team built up for the next 20 years because of the players they have signed. It is for now - but now they are really good."

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230303_220835_504.jpg
 
FIFA are seriously considering a new "game clock" rule in football, where the clock stops when the ball goes out of play. Their hope is that it will put an end to time-wasting.

#Marca
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230303_220804_702.jpg
 
Manchester United could reach 50 points after 25 Premier League matches for only the second time since Sir Alex Ferguson retired. They recorded 53 under Jose Mourinho in 2017-18 and went onto finish second.

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230303_220517_174.jpg
 
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
View attachment 2536317
Kauli za Erik sio za kinyonge kama jamaa waliopita.
Inawapa morali kubwa sana wachezaji bila kujali mpinzani na uwanja unaotumika.

Kwa sasa kila mpinzani tunamuona average tu,hasa hawa majogoo wanaotaka kuamka siku za hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom