Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FIFA are seriously considering a new "game clock" rule in football, where the clock stops when the ball goes out of play. Their hope is that it will put an end to time-wasting.

#Marca
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
View attachment 2536327
Kuwe na saa ambayo mpira ukisimama kwa namna yoyote ile saa nayo inasimama na wakifanikiwa hilo basi waondoe dakika za nyongeza.
 
Joe Hugill has been presented with January's #PL2 Player of the Month award at Carrington

#MUAcademy
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
View attachment 2536320
Huu nao ni moto mwingine baada yaa Rashford, Greenwood na Garnacho. Academy ya man u huwa inatoa watu wazuri sana huwa naumia sana kumpoteza Januzay na sasa naona kama kuna dalili za kumpoteza Greenwood.
 
Kuna mashabiki wanafiki humu sijapata kuona.
Ooooh Ghost hajui lolote lile lile ni garasa tu mkataba uishe arudi mtaani akachome mahindi.
Ooooh AWB hana kitu ni uchochoro tu anasindikiza wafungaji tu.
Na maneno mengine mengi.

Kesho yake
Ghost ni nomaaaaaaaa
AWB akapoteza Maximim mpaka kawa Minimum
Kwa upande wangu nitakua mtu wa mwisho kuukubali uzuri wa huyo Ghost.

Tangu ajiunge na United hata goli tano hana, zaidi ya fujo tu kule mbele sioni maajabu mengine.

Rudisha ilipotoka, leta mtu anaweza kucheka na nyavu kama Osemhen.
 
1677937818800.png

Nileteeni kichwa ya hamis77
Hii kichwa ina vurugu nyingi sana.
 
Kuwe na saa ambayo mpira ukisimama kwa namna yoyote ile saa nayo inasimama na wakifanikiwa hilo basi waondoe dakika za nyongeza.
Sure talk,haya maswala mtu kurusha throw in inatumia dakika 2 yaishe.
 
Back
Top Bottom