Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,697
Haendi popote. Zama zimebadilika. Hatuuzi tena wachazaji kizembeGarnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa
Haendi popote. Zama zimebadilika. Hatuuzi tena wachazaji kizembeGarnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa
Wala sidhani Msdrid ni timu kubwa lakini sio lazima wachezaji wazuri wote wawe kule. Mfano Halandi Mess, Mbape na Kane hawapo kule. Ninachomaanisha hata akiendelea kuwa mzuri anaweza endelea baki hapo hapo utd.Yap ni mfano wa timu kubwa
We're not a selling club. Ila Garnacho akifikia full potential maana yake kwa soko la sasa tunaongelea £100m.Garnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa
Mwambie huyo mkuu haoni tulichowafanyiaga hao Madrid kwa De gea. Hata enzi za Feg alikuwa anawauza huko Madrid ni kwa sababu ya utovu wa nidhamu, mfano Beckham na Van Nestroy.Haendi popote. Zama zimebadilika. Hatuuzi tena wachazaji kizembe
Yap na hicho ndio nilikua nakimaanishaWe're not a selling club. Ila Garnacho akifikia full potential maana yake kwa soko la sasa tunaongelea £100m.
Yule jamaa anamasifa sana ila mpira wake ni wakuotea otea tu sijui angekuwa na consistence kama Debrune sijui ingekuwaje.Kwanza Pogba alisema atatuonyesha, imekua kinyume chake, naona vijana wamesema usitutanie wanamuonyesha wao sasa.
Lile bomu baada ya kusepa makombe yana anza kuja.
Final ni Man Utd vs Man City.
Unasema?????????????Nilisema mapema, hili kombe tumepishana nalo tayari.
Kwa mbinde sana leo.
Timu zilizo upande wa kushoto zinashinda hatua ijayoFA CUP Quarter Finals: [emoji1022][emoji471]
Manchester City vs Burnley.
𝙈𝙖𝙣𝙘𝙝𝙚𝙨𝙩𝙚𝙧 𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙 vs Fulham.
Brighton vs Grimsby.
Sheffield United vs Blackburn.
#WaleteFULHAM[emoji477][emoji28]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |
View attachment 2534262
Acha kudhani Real Madrid ni timu kubwa barani Ulaya na Duniani.Wala sidhani Msdrid ni timu kubwa
Yuko Vizuri huyo.Adrian Kajumba anasema:
manchester united wanamfuatilia kwa ukaribu kiungo wa southampton anayeitwa Romeo Lavia.
huyu lavia alitokea timu ya vijana ya manchester city na baadae kuuzwa kwa kitita cha paundi millioni 14.
Manchester city pia wanayo nafasi ya kumnunua tena kwa paundi millioni 40 kwa mujibu wa makubaliano yao.
chelsea na arsenal pia wanahusishwa na kiungo huyo.
kumbuka:
kipaombele cha ETH bado ni frenkie de jong
Duuh!! Mbongo bhn!! yaani unachagua kama unatoa hela weweYuko Vizuri huyo.
Saints wakishuka daraja anaweza kupatikana kwa bei rahisi.
Ni CDM, ana miaka 19.
Mwingine ni Bella-Kotchap, CB
Hahaha,Duuh!! Mbongo bhn!! yaani unachagua kama unatoa hela wewe
Kuweni mnaamini walimu.Nilidhani ETH anataka makombe yote haya kumbe nimejidanganya. Kikosi dhaifu sana, wakati wapinzani wameweka full mziki. Sijui kesho tutaficha wapi sura zetu kwa mashabiki wa aseno. View attachment 2534159
Jinga weweGarnacho anarukaruka tu