Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,301
- 46,765
Huyu mtoto vipi?..kila baada ya wiki mgonjwa..fvckJadon Sancho is ill
Huyu mtoto vipi?..kila baada ya wiki mgonjwa..fvckJadon Sancho is ill
Hapo kwa kiungo akomae kwa na de Jong tu. Huyo Muingereza Dortmund watataka wapige pesa hapo kwenye hilo dili.Boss ETH nasikia anataka usajili wachezaji wawili muhimu dirisha kubwa, mm naona atuletee vlahovic/ osmhen afu kiungo de jong/ Bellingham
Kosi la ushindi hilo, mpira ni mbinu na utimamu wa wachezaji tu.Nilidhani ETH anataka makombe yote haya kumbe nimejidanganya. Kikosi dhaifu sana, wakati wapinzani wameweka full mziki. Sijui kesho tutaficha wapi sura zetu kwa mashabiki wa aseno. View attachment 2534159
Ila we jamaa unajua kulalamika, maana kwako siku zote Ten Hag anakosea kikosi.Nilidhani ETH anataka makombe yote haya kumbe nimejidanganya. Kikosi dhaifu sana, wakati wapinzani wameweka full mziki. Sijui kesho tutaficha wapi sura zetu kwa mashabiki wa aseno. View attachment 2534159
SanaNadhani akatafute changamoto kwingine, amekuwa na mkosi sana hapo Utd.
Mbinu zake sizipendi kabisa..eti waanze watoto dakika ya 60 waingie wakubwa. Kwa nini wasianze wakubwa wakashinda mapema then wakaingia watoto. Ndio maana nilimpenda sana Mou.Ila we jamaa unajua kulalamika, maana kwako siku zote Ten Hag anakosea kikosi.
Relax. Let's trust the manager asee, kuna kitu anaona ambacho sisi hatuoni.
Utoto mwingi sanaHuyu antony kupiga cross hajui eeeh
Tayari tumepigwaIla we jamaa unajua kulalamika, maana kwako siku zote Ten Hag anakosea kikosi.
Relax. Let's trust the manager asee, kuna kitu anaona ambacho sisi hatuoni.
Tayari sasa ndio anaanza kuwaleta wakubwa huku tumefungwaMbinu zake sizipendi kabisa..eti waanze watoto dakika ya 60 waingie wakubwa. Kwa nini wasianze wakubwa wakashinda mapema then wakaingia watoto. Ndio maana nilimpenda sana Mou.
Nilisema mapema, hili kombe tumepishana nalo tayari.Sitashangaa tukipoteza hii game.
Tupo pamoja. Kill the game early and then relax.Baada ya kupigwa naona kocha anawaandaa rashford na martinez haraka haraka.Ujinga huu.