Unawezaje kusema ni mzuri wakati anawaogopa baadhi ya wachezaji?Hata Klopp kwangu mimi bado ni bonge la kocha ila tatizo lake ana roho nzuri sana (He's a classic Mr. Nice guy). Inabidi ajifunze tabia ya kuwa na roho ngumu kidogo kama Pep Guardiola, baada ya misimu kadhaa ya kucheza top football ni lazima ufanye kupunguza baadhi ya wachezaji na kuleta wapya hasa hasa wale wenye umri mkubwa.
Tutasajili wengi sana hapo golini lakini guts za kutaka De Gea awe benchi hatujawahi kuwa nazo.Kwa sasa fans tumeanza kujadili mipango ya usajili msimu ujao ila katika wote sijasikia mtu akiongelea nafasi ya goal keeper. Wakati msimu unaanza wengi tuliona De Gea ni tatizo kwa kuangalia falsafa za uanzishaji mashambulizi za EtH. Sasa tukubaliane moja,tunahitaji shot stopper (Dave) au ball playing Golie(tusajili)?
Fred alikuwa anazingua akiwa Utd tu, huko kimataifa akiwa na Brazil alikuwa anabadilika sana akisimama na Casemiro mpaka tunabaki kushangaa.Fred sijui kaanza kupata confidence ya kucheza pembeni ya kaka yake Casemiro,anaupiga mwingi sana recently hadi tumesahau kama Sabitzer yuko benchi.
Anthony kaanza kuimarika kiwango hasa kwenye upande wa ushambuliaji,nahisi wale doubters wake watajua Erik hanaga kazi mbovu.
One down,Three to wrap up!
Ila stratejia hiyo siyo sahihi sanaNdy always nishasema humu huyo jamaa hapo mbele akiwepo mabeki wanaogopa.
Akitolewa back lines zao zina relax na kupanda kwenda kushambulia.
Huyo ni striker kivuli tu,,Ila ana mission maalum ktk game.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Unawezaje kusema ni mzuri wakati anawaogopa baadhi ya wachezaji?
Kuna wachezaji wamechoka na ni wazee ila hataki kuwatoa na Kila siku anawaanzisha kwenye kupanga kikosi.
Yaani muda mwingine anaogopa kufanya sub,kisa mchezaji atanuna kutolewa.
Unawezaje kusema ni mzuri?
Ten Hag alimuanzisha Cr7 benchi,bila kujali ukubwa wa jina lake
Kuna wachezaji wakileta utovu wa nidhamu,anawapiga benchi,
Klopp anaweza?
Sasa uzuri wake uko wapi hapo kama tunafungwa Kila siku.
Lazima tukubali,Ten Hag, Pep na Kocha wa New Castle ndio Makocha bora kwa sasa.
Wana sucession plan matata.Tunatakia tupate vijana wenye damu moto hapo latikati.
Sijui Madrid huwa wanafanya vipi kuwa na quality midfield misimu yote, wana jicho kali sana.
Kutokana na aina ya wachezaji tulionao Ni sahihi kabisa weghorst kucheza kama false striker.Ila stratejia hiyo siyo sahihi sana
Sasa uliza kama Klopp anaweza muanzisha benchi VVDKlopp ni kocha mzuri sana ila kinachomponza ni roho yake nzuri tu, na hicho ndio mapungufu yake makubwa na im sure itamponza kibarua chake, ila endapo akibadilika kidogo akawa na roho mbaya atatusurika
Inapaswa mtu kama VVD au Hendo wanavyozingua unawala vichwa kaa bench bila kuangalia ukubwa wa jina wala ukubwa wa salary, mfano ETH kwa Maguire team captain, CR7 big name na hata majuzi tu Rashford alichezea bench na akambiwa makosa yake
Timu ya man U kwa sasa inakabia juu.
Timu ya man U kwa sasa inakabia juu.
Na kila kocha na falsafa zake.
Ten Hag ameamua kwenda na huyo Weghorst na katuletea ubingwa man united.
Kumbuka nafasi anayocheza yeye alikuwa anacheza stricker wa Dunia,
Christian Ronaldo na timu ilikuwa inapigwa kama Ngoma tena kila week.
Sasa bora kuwa na huyu defensive striker tuchukuwe makombe au tuwe na striker lakini tunapigwa kama ngoma?
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Timu inayocheza kitimu zaidi utafungwa na yeyote sio lazima striker.,sababu wanashambulia kwa pamoja na kulinda kwa pamoja,Bora Tuwe Na Weghorst, Binafsi Namkubali Jamaa Anajitoa Sana Kwenye Kukaba Tunaposhambuliwa….Weghorst Ndio Maana Ya “Striker Kama Kufunga Umeshindwa Basi Zuia”
Man U hawakumpa muda,David Moyes. Mechi yake ya kwanza akiwa kocha wa manyumbu alibeba kombe. Lakini hakumaliza msimu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Jamaa ukiacha hizo kazi zingine tunazotaka kumpa za kushambulia kazi yake ya kukaba sijawahi kuwa na mashaka nayo na jana mapema nilisema max msumbufu atamsumbua Dalot sana. Alivyoingia bissaka akatulizwa.Sawa mkuu sikatai, ila mjadala kipindi hicho Eth anakuja humu ni kwamba Auzwe, Hoja yangu ilikuwa hakuna beki duniani anayekaba kuliko AWB na akicheza na winga machachari ni kama huyo Winger amepewa kadi nyekundu, hivyo anatupa profile ambayo hatutaipata kwa mtu yoyote yule.
Jana ni mfano mzuri sana wa namna ya Kumtumia AWB, timu inaongoza 2-0 wapinzani wanakuja kama Nyuki, maximin anamgeuza geuza tu Dalot, Solution ni yeye kuingia na kumaliza mchezo.
Argentina hawawezi msahau chupuchupu ile game
Jamaa ukiacha hizo kazi zingine tunazotaka kumpa za kushambulia kazi yake ya kukaba sijawahi kuwa na mashaka nayo na jana mapema nilisema max msumbufu atamsumbua Dalot sana. Alivyoingia bissaka akatulizwa.