adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,793
Bado kuna tatizo kubwa la uchoyo kule mbele ,kwa mechi za karibuni karibuni nafasi nyingi za magoli tumezipoteza kwa sababu ya ubinafsi wa wachezaji unakuta mtu mwenzake yupo katika nafasi nzuri zaidi ila anafosi ashinde yeye .