James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,145
- 3,965
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo baada ya kuchukua taji letu la Carabao mashabiki wa Chelsea na Liverpool mtakuwa na jukumu la kuwarudisha nyumbani mashabiki wa Man United, wale wa Arsenal ole wenu tukifika banda umiza tukute viti vichafu, haiwezekani muje kuona mechi yetu halafu tusiwape kazi, tumewaita?View attachment 2530599
United 2 newcastle 0
Nachukua nafasi ya mtu leo
Angelambwa red kizembe.Dalot ndio Fred hapana
Mganga wa kienyeji kutoka mkoa gani?United 2 newcastle 0
Nachukua nafasi ya mtu leo
Uchizi huoKila kheri Newcastle
Labda muazime wachezaji wa PSG wawili na Barcelona wawili na Manchester city wawili.
[emoji3][emoji3] Atakutukana na wewe, sema jamaa ana mahaba tu na fred tangu muda ndio maana ukimgusa anamtetea kila siku humu.Na katolewa sasa
Wewe ndio hujui mpira[emoji16][emoji16][emoji16]