

Kwenda zako wewe, kwaiyo wewe unamjua sana huyo kuliko ETH? kaa utulie angalia ametoa na assisy hapoIla hana positioning nzuri na hata runs zake ni zile zinafanya uone ana work rate kubwa ila hazikupi positive impact direct
Hamna mi nakujua weweKwenda zako wewe, kwaiyo wewe unamjua sana huyo kuliko ETH? kaa utulie angalia ametoa na assisy hapo