Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,803
- 75,454
Relax andika uelewekeAjabu anayecheka ni Clown zaidi ya huyo wa 1969.
Relax andika uelewekeAjabu anayecheka ni Clown zaidi ya huyo wa 1969.
Angalia vizuri, Wout ni mpambanaji sana anakimbia sana uwanjani. Nadhani ndio maana ETH anamuanzisha kila mechi. Wale wavivu kina Martial hawawezi mzikinwa hili lijamaa. Mwanzoni hata mimi nilimponda sana Wout.Huyu Wout na Aboubakar Vincent namchukua Vincent
Considering magpies wanavyojisahau hizo long balls might pay offMwendo wa pasi ndefu tu.
Ila hana positioning nzuri na hata runs zake ni zile zinafanya uone ana work rate kubwa ila hazikupi positive impact directAngalia vizuri, Wout ni mpambanaji sana anakimbia sana uwanjani. Nadhani ndio maana ETH anamuanzisha kila mechi. Wale wavivu kina Martial hawawezi mzikinwa hili lijamaa. Mwanzoni hata mimi nilimponda sana Wout.


Kwenda zako wewe, kwaiyo wewe unamjua sana huyo kuliko ETH? kaa utulie angalia ametoa na assisy hapoIla hana positioning nzuri na hata runs zake ni zile zinafanya uone ana work rate kubwa ila hazikupi positive impact direct