Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Fc bandari ya tangaDraw ya Europa kuchezeshwa saa tisa,sijui tutapangwa na nani?
Fc bandari ya tangaDraw ya Europa kuchezeshwa saa tisa,sijui tutapangwa na nani?
Hii nzuri yani tufanye parade kwenye Carabao tutachekwaBREAKING:
Erik ten Hag has dismissed the prospect of holding an open top bus parade if his side win the Carabao Cup and will only consider sanctioning a mass celebration if they win two trophies this season. [@MattHughesDM]
THIS MAN
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Our possible opponentsDraw ya Europa kuchezeshwa saa tisa,sijui tutapangwa na nani?
Dah, jana nilikua maporini nasikitika kuukosa huo utam.United tamu jamani, dah
Jogou muinto bem ate.
Tuliza tako dawa iingie vizuri, usije ukavunja sindano.Baada ya miaka 15 leo ndo mmevua uteja.
Mkuu kadi imebaki moja tu, karibu kwenye timu ya ushindi, achana na cheltako itakukondesha bure.TEN HAG kabadilisha kabisa mambo huko, hongereni sana kwa ushindi
Man U nawachukia ila Barcelona zaidi. Bora mmewamaliza jana
TEN HAG akipata wachezaji wazuri zaidi Ufalme wa kipara utakuwa umefika ukingoni
Merda e voce.United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde
Over my dead body, nije kwenye uchafu. niache rangi ya anga tulivu na bahari iliyotulia nije kwa mashetaniMkuu kadi imebaki moja tu, karibu kwenye timu ya ushindi, achana na cheltako itakukondesha bure.
#MUFC



Yaliyomkuta Livapuuuh ndio yaliyopata Barca janaRule number one..
"DONT SCORE FIRST AGAINST MAN UTD, IS A TRAP"
Rule number two
"ALWAYS REMEMBER RULE NUMBER ONE"
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app