Ndio yale Mambo ya Pogbakuna mGOGORO utazuka wakija wanao mfahamu De Jong.
Bado huoni au ushaanza kuona?Sioni goli Man U akipata
Mtake radhi FredFred wangeacha aingie kipindi Cha pili anakichafuaga hatari kuliko akianza.View attachment 2527850
Rashford majeruhi huyoGame over barca done now focus kwa newcastle