Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
Tukimalizana na Newcastle katikati ya wiki tena Westham hawa hapa..
Yaani ni bandika bandua..ndani ya siku kumi tunakuwa tumecheza michuano minne tofauti.
Na Mechi Zote Hizo Tunatoboa, No Doubt [emoji28]