Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

And it ended that way.
20230224_103235.jpg
 
Nilikuwepo Boss wangu
Na nilishuhudia Barcelona amepokea Konde 2 nzito na kupoteza Fahamu
...
Nilikuwepo niliposhuhudia Bruno akimpa bonge la push kunde na kutoa assist kwa fred
...sio hvyo tu nilikuja boss nikashuhudia Anthony akizungusha mpira kusikojulikana..
Nilikiwepo tena pale mbele mbele pale nikimuona Lewandowski akilia kwa unyonge mbele ya the Butcher..
Sikuishia hapo nilienda jukwaa la juu nikamuona Sir Alex Ferguson akicheka na kupiga makofi...

Nimesahau nilikuwepo pale bana nilipomuona Casemiro akipita kama haona ile mbungi ya vurugu pale
Ama hakika nilifika OT boss.wangu
Ahsante kwa mualiko wako.
Kwa wakati mwingine
FB_IMG_16772210035633816.jpg
 
TEN HAG kabadilisha kabisa mambo huko, hongereni sana kwa ushindi
Man U nawachukia ila Barcelona zaidi. Bora mmewamaliza jana

TEN HAG akipata wachezaji wazuri zaidi Ufalme wa kipara utakuwa umefika ukingoni
Huyu ndie kocha sasa, hio solar panel unayoiona hapo kazi yake ni kutia chaji kwenye ubongo, nyie Chelsea mnasajili kocha ambae hana hata uwaraza hivi mpo serious kweli nyie?
Screenshot_20230224-111403.jpg
 
Back
Top Bottom