Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Actually ni kama mmiliki.Yule babu kwa muda aliofanya kazi pale UTD, amekuwa shabiki wa kutupwa.
Actually ni kama mmiliki.Yule babu kwa muda aliofanya kazi pale UTD, amekuwa shabiki wa kutupwa.
Ukiangalia mpira kishabiki huwezi kuona umuhimu wa baadhi ya wachezaji.FRED & LICHA
Bruno hapana kwa jana. Ni ile assist moja tu alitoa hakuna kitu kikubwa kingine alifanya.
At least Arsenal hua hatujidanganyi. Tunajua tupo kwenye rebuildingHivi shabiki wa Arsenal anapata wapi nguvu ya kutoa kauli kama??
Arsenal fan, unatoa banter kama hii kwa Man Utd na Barca? Waseme wengine sio wewe.
jamaa nafuatilia prediction nyingi anapatia😂Mchawi we jamaa![]()


Ila mjiandae, Eddie Howe Carabao kwake ni muhimu kuliko hata EPL. Majeshi yote yatahamishiwa huko unless you take it seriouslyGlory glory utd!
Last year draw ilivyotoka nilisema hapa Barca ni weupe tu, tukijipanga tunawatoa, na ndicho kilichotokea !
Newcastle atatusamehe, hakuna Namna carabao tutaibeba
ARV huwa anachokiona yeye anataka kuaminisha wote, Bruno jana alikuwa uwanja mzima yupo.Goli la pili hukuona kuwa yeye ndo mpishi?
Still work rate yake ilikuwa juu sana
Huyu ndie kocha sasa, hio solar panel unayoiona hapo kazi yake ni kutia chaji kwenye ubongo, nyie Chelsea mnasajili kocha ambae hana hata uwaraza hivi mpo serious kweli nyie?TEN HAG kabadilisha kabisa mambo huko, hongereni sana kwa ushindi
Man U nawachukia ila Barcelona zaidi. Bora mmewamaliza jana
TEN HAG akipata wachezaji wazuri zaidi Ufalme wa kipara utakuwa umefika ukingoni
Rule number one..Mwarabu apewe timu haraka sana
Chelsea hao.Huyu ndie kocha sasa, hio solar panel unayoiona hapo kazi yake ni kutia chaji kwenye ubongo, nyie Chelsea mnasajili kocha ambae hana hata uwaraza hivi mpo serious kweli nyie? View attachment 2528263
Unaelewa maana ya rebuilding? Ni lini mlikuwa builded?At least Arsenal hua hatujidanganyi. Tunajua tupo kwenye rebuilding



