Casemiro akaona bora akae pembeniView attachment 2528004
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app




hatariMsimu huu Barcelona ameruhusu magoli 7 tu ktk La Liga kati ya michezo 22. Tumeweka kamba 4 ndani ya michezo miwili.
Mbaya zaidi hakuna mtu alitarajia hii big result kwa muda mfupi. Haya maono alikuanayo mwenyewe tu! I believe next season atapatiwa kilakitu, imani imeongezeka.Niliiamini na kuliunga mkono lile wazo la Ralf Rangnick la kuuza wachezaji wote na kuanza upya.
Kuna wachezaji niliwakatia tamaa kabisa. Nilitaka wauzwe wote ila leo wamegeuzwa kuwa key players.
Nilimshangaa Ten Hag alivyosema wachezaji wanamfaa. Leo kawageuza wote kuwa lulu.
Ten Hag ni genious. Huyu jamaa angepata wachezaji wazuri anaowataka msimu huu, tungechukua Quadruple kilaini kabisa.
Jamaa ni katili sana.Uyu jamaa anamwili mdogo lakini mkatili balaaa naona anaseli za Nemanja Vidic mTu kazi
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Qatar apewe timu.Mbaya zaidi hakuna mtu alitarajia hii big result kwa muda mfupi. Haya maono alikuanayo mwenyewe tu! I believe next season atapatiwa kilakitu, imani imeongezeka.
How it was€1.4m will only get you one penalty. If you want more, pay more.
#DryJoKe
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2528014
Ila nyie mshaludi mkuu ongereni.United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde
Yule babu kwa muda aliofanya kazi pale UTD, amekuwa shabiki wa kutupwa.Nimemuona Sir Fergie kashangalia goal la Antony ile mbaya.
Hivi shabiki wa Arsenal anapata wapi nguvu ya kutoa kauli kama??United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde
Kipara mwenyewe naona ameshajua hilo, na anaweza kuondoka Etihad ili asikutane na hiyo hali.TEN HAG kabadilisha kabisa mambo huko, hongereni sana kwa ushindi
Man U nawachukia ila Barcelona zaidi. Bora mmewamaliza jana
TEN HAG akipata wachezaji wazuri zaidi Ufalme wa kipara utakuwa umefika ukingoni
United na Barcelona recently wote wanastruggle kurudi kwenye glory days. Washed team imemshona washed team mwenzie and fans forget where are they really.
Merde
Huyu jama "the butcher" ni beki kisiki kweli kweli.Lisandro Martinez's game by numbers vs. Barcelona:
70% duel win rate
63 touches
35 passes completed
5/9 long balls completed
4 clearances
4/5 tackles won
Leaving Old Trafford with Lewandowski in his back pocket.
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2528013
Huyo asenane hatuwezi tena kwa njia yoyote kukutana naye kashatoka makombe yote, kabakiza premier, ana bahati sana.Roho imeniuma sana kumpiga Bakari goli 2 tu, hawa leo walistahili kufungwa sio chini ya goli 4.
Tuleteeni Asenyo nae tumnyooshe.
Hii sasa ndio Man Juu ninayoijua mimi.