Zuckerman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,432
- 2,533
Si uitaje tuu hiyo timu kuwa ni Man UtdAliyeshinda leo ana nafasi kubwa ya kubeba hii ndoo
[emoji23][emoji23][emoji23]Casemiro akaona bora akae pembeniView attachment 2528004
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]I am sooo happy right now
Ogopa matapeli, kocha ni mwenye upara
Casemiro akaona bora akae pembeniView attachment 2528004
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Uyu jamaa anamwili mdogo lakini mkatili balaaa naona anaseli za Nemanja Vidic mTu kazi[emoji408] Lisandro Martinez's game by numbers vs. Barcelona:
70% duel win rate
63 touches
35 passes completed
5/9 long balls completed
4 clearances
4/5 tackles won
Leaving Old Trafford with Lewandowski in his back pocket.
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2528013