Babyloni
JF-Expert Member
- Dec 17, 2020
- 296
- 837
Mkuu hii game iko wazi sana ni makosa madogo madogo tu bado tunayo nafasi ya kushindaNyingi tu Moja wapo hii ya barcelona
Mkuu hii game iko wazi sana ni makosa madogo madogo tu bado tunayo nafasi ya kushindaNyingi tu Moja wapo hii ya barcelona
YupoHivi sabitzer yuko sub?
Werghost ndo ilikua sub ya kuanza nayoWerghost out....Antony in
Kocha bhana toa Sancho hajawahi kuwa tishio kabisa huyu hasa akianza.
commentator gani acha UFALA kudanganya humu wewe[emoji1][emoji1],kalia msumari huo ukuingie vizuriPamoja na ujinga wa bruno, penalt nyepesi sana ile. Nilikuwa nasikiliza hapa commentator anashangaa refa anataka kufanya nini, alikuwa haamini kama inaweza kuwa penalt.
Mjinga wewe unaangalia kibanda umiza wanawawekea mamiziki hata husikii kinachoongelewa kenge maji wewecommentator gani acha UFALA kudanganya humu wewe[emoji1][emoji1],kalia msumari huo ukuingie vizuri
Umeona wewe mtu fakeHii combination pale kati , barca wanamiliki dimba kati, itabidinfred apungue
Umeona wewe mtu fake
Rashidi kaanza uchoyo