Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa sijaelewa, so ni mchezaji wa NC united ila tukichukua Kombe anavaa medali, how?? Na kama Wao Newcastle wakichukua bado atavaa medali??
Wakati mashindano ya Carabao Cup yanaanza msimu huu alikuwa mchezaji wa Man United kwahiyo jina lake likasajiliwa kwenye kikosi kitakachoshiriki Carabao Cup kama mchezaji wa United, pia alicheza mechi mbili.

Newcastle wakishinda hatapata medali ya mshindi kwasababu jina lake halipo kwenye kikosi cha Newcastle kilichosajiliwa kwenye Carabao Cup.
 
Facundo Pellistri: “It’s incredible [to be managed by Ten Hag]. He has a very good mentality. In the first days he arrived here, he was very clear with his ideas and I think we are looking [like we understand his ideas] on the pitch every match.”

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230219_003052_380.jpg
 
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]

My prediction

Manchester United 2 vs Leicester city 1

Time
11.00

Stadium
Old Trafford

Tuleteeni haooooo

Last match

Leicester city 0 vs Manchester United 1

GGMU [emoji3590][emoji3590]
1676716079820.jpg
 
Wakati mashindano ya Carabao Cup yanaanza msimu huu alikuwa mchezaji wa Man United kwahiyo jina lake likasajiliwa kwenye kikosi kitakachoshiriki Carabao Cup kama mchezaji wa United, pia alicheza mechi mbili.

Newcastle wakishinda hatapata medali ya mshindi kwasababu jina lake halipo kwenye kikosi cha Newcastle kilichosajiliwa kwenye Carabao Cup.
Dah, changamoto. Imagine Newcastle wamelose afu jamaa anaingia na medali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari kubwa hii. Quatar wapo serious kuinunua United.View attachment 2521118

Sheikh Hamad Al Than apewe timu hii, ni mtu sahihi sana kwanza ni kijana then die hard utd fan, kwa mujibu wake mwenyewe anasema alianza kuishabikia utd akiwa na 10 years old ilikua mwaka 1992 baada ya ile “class of 92”
Kikubwa zaidi ainunui kwa mkopo kama kina glazers walichotufanyia mabwege hawa, yeye ni mzee wa cash arab money, kaweka wazi atainvest in and out of pitch na atarudisha glory days

Kikubwa zaidi haters wafahamu huyu ana mzigo kuwazidi maboss wa man city
 
Umenena vema mkuu ila tatizo la fred ni muendelezo tu. Wiki hii amesifiwa kwa kiwango bora ila hutarajii kuona kiwango kama hicho mechi ijayo.

Marcus kiaina anaondoka kwenye hii hali ya kudumisha kiwango chake siku hizi ingawa ni kwa kiasi fulani.
Hawa wote watasepeshwa endapo muarabu atachukua hii timu, wachezaji wa timu ndogo kasoro de gea.
 
Ten Hag on Rashford contract expiring in 2024: “Rashford’s new deal is a priority. We are working on it, in the background we're working hard. We have to keep Marcus, of course". [emoji599][emoji837]

“First day we met, I told him: I want to see your smile!”.

“He's in a happy place now”.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230219_154820_573.jpg
 
Back
Top Bottom