Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongereni kwa ushindi jana nyie manure maan sishani kama kuna team kutoka EPL imeshawi kuondoka na ushindi pale camp nou .Kupata sare ni ushindi mkubwa sana kwenu.
Mwaka 2008 Manchester United ilimfunga Barcelona hapo hapo Camp nou, goli lilifungwa na Poul schols.

Tatizo wewe ulikua mdogo sana, bado ulikua unakunya kwa mafungu, unakunya hapa unainuka, unaenda kunya pale, sisi kaka zako tunacheki soccer.
 
Magoli yake mengi ni Mungu nisaidie piga nikupige, huwezi kutisha ulaya ukiwa na forward kama rashford, ngoja waarabu wachukue timu tusajiri wachezaji, sio hawa sijui fred, sijui Sancho uchafu mtupu.
Kama uliweza kusema Yanga ni tishio Kwa team za Ulaya unaonekana Una depression au Una kichaa kinakunyemelea

Mwaka 2008 Manchester United ilimfunga Barcelona hapo hapo Camp nou, goli lilifungwa na Poul schols.

Tatizo wewe ulikua mdogo sana, bado ulikua unakunya kwa mafungu, unakunya hapa unainuka, unaenda kunya pale, sisi kaka zako tunacheki soccer.
Baada ya hapo kilichofuata utaki hata kukumbuka.

Mpaka leo huu mwaka wa 15 hujaifunga Barca.

Jana mmepata draw mmefurahi kweli.
 
Usiku huu
1676665062657.png
 
Mwaka 2008 Manchester United ilimfunga Barcelona hapo hapo Camp nou, goli lilifungwa na Poul schols.

Tatizo wewe ulikua mdogo sana, bado ulikua unakunya kwa mafungu, unakunya hapa unainuka, unaenda kunya pale, sisi kaka zako tunacheki soccer.
Hii mechi ndio ilifanya nihame Liverpool na kushabikia MANCHESTER United Yule half Albino alipiga shuti kilo 100 puyol akakwepesha kichwa Victor Valdes akaruka ushaidi tu

Umefanya nimkumbuke Dmitry barbatov na Rafael
 
BREAKING: Jim Ratcliffe submits bid for Manchester United via Ineos. Billionaire born locally to the club aiming to "put the Manchester back into Manchester United", according to sources close to the bid. The offer is for full takeover.
Sources close to the Ratcliffe bid also say that any money borrowed to fund the takeover of Manchester United will be borne by the INEOS group, rather than the club, meaning no fresh debt will be added the
#mufc balance sheet.
1676692033666.png
 
Wazee kati ya sir jimmy na hawa qatar nani anatufaa zaidi
Sir Jimmy ni shabiki wa United, na mwenye pesa zake ... zaidi ya Glazers, ila kwa mahitaji ya United pesa yake ni ndogo

Pia huyu Sir Ratcliffe anamiliki timu ya Nice ya Ufaransa, na hajaifanyia makubwa kiviiiile

Quatar wana pesa na wapo tayari kumwaga pesa. Hawa matajiri wana ukwasi kuliko hata matajiri wa Man City

Huyu tajiri aliyeweka bid ya kuinunua United (Sheikh Al Thani) ni shabiki lia lia wa United

Sasa unaweza kuchagua anayetufaa zaidi
 
Mashekhe uchwarwa wa huku wanasema mpira ni dhambi na ni ufreemason😣😣😣😣😣
 
Back
Top Bottom