Kwa mimi Naona OT ifanyiwe Rebuilding.. option C..
Hapo utapendekeza option gani za kuiboresha OT
Sheikh katika uzi
Wajenge uwanja mpya..
Hapo utapendekeza option gani za kuiboresha OT
Wote tunafatilia soka bro tunapotoa facts huwa tunakua na data!. Hakuna Man utd katika dunia hii ilishawahi kishinda Camp nou!. Hapa mimi na wewe nani alikuwa mdogo sasa[emoji116]Mwaka 2008 Manchester United ilimfunga Barcelona hapo hapo Camp nou, goli lilifungwa na Poul schols.
Tatizo wewe ulikua mdogo sana, bado ulikua unakunya kwa mafungu, unakunya hapa unainuka, unaenda kunya pale, sisi kaka zako tunacheki soccer.
Si ndio maana umasikini hauishiMashekhe uchwarwa wa huku wanasema mpira ni dhambi na ni ufreemason[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Well barcelona kashinda old trafford mara moja tuu[emoji38]Wote tunafatilia soka bro tunapotoa facts huwa tunakua na data!. Hakuna Man utd katika dunia hii ilishawahi kishinda Camp nou!. Hapa mimi na wewe nani alikuwa mdogo sasa[emoji116]View attachment 2521379
Bonge la jezi ni zame dukani tu sasa.Jezi zenu za msimu ujao baada ya waarabu kuchukua timu View attachment 2521642
Aisee huyu mwamba huwa namkubali sana anakazi chafu pale kati utadhani ni mchezaji kutoka Paraguay.Wakuuuu...... tupate kiungo kama jonjo shelvey. Ericksen hana mapafu na ni pancha sana