Mimi ananiudhi kupenda kubutua hovyo kila mara na kusababisha mipira ipotee kama hilo aliookoa Lindelof now alibutua wakati kuna mabeki karibu.Duh, Ahsante Degea.
Kibanda kilikua kinaungua hiki.
Timu mbovuMbona uzembe mwingi hapa.
Timu mbovuTunaruhusu kushambuliwa sana
Naona pimbi Anthony siku hizi anakula benchi tuKwa mala nyingine Degea anaokoa jahazi.
Tukiacha masihara, jamaa wanatusachi kila mfuko, bado kuingia dosho tu wachukue machenji.
Kwa mala nyingine Degea anaokoa jahazi.
Tukiacha masihara, jamaa wanatusachi kila mfuko, bado kuingia dosho tu wachukue machenji.







Njoo tena utoe updates..Hii ni timu au ni KUNDI LA WALANGUZI????
sioni wanachofanya uwanjani hapa
Ni majeruhi.Naona pimbi Anthony siku hizi anakula benchi tu