Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,828
- 11,649
Salute mkuu nakupa salute na nakuomba kama ni mwanaume unioe


nini hiii!!!!Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Salute mkuu nakupa salute na nakuomba kama ni mwanaume unioe


nini hiii!!!!Kwa sababu hujui mpira, Man United wanajitahidi kiwa narrow kwenye defence ili kupunguza through balls kwenda kwa Lewandoski na kudhibiti mikimbio ya kina Rafinha.Sijawahi kuona beki ya kulia inachezwa kama hivi.
Sancho anasoka laini mno mpaka sasa bado hayupo fiti kabisa..Antony si mlikua mnamuona falafala tu.
Ila mnajua Sana kutetea wachezaji wenu...mnasema Anthony uwepo wake unafanya timu pinzani isipande,mara weghorst anawatisha mabeki.... Haya ndo majukumu Yao muhimu yaliofanywa wakasajiliwa.?.. aisee tutasikia mengiMkuu huyo jamaa uwepo wake hapo mbele unawatisha mabeki.
Akae tu hapo hapo.
Kuna siku akikosekana utatamani awepo.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app








Jordan Sancho ana utoto mwingi sanaKwa huu uzembe tupigwe tu hakuna namna ..
RashfordFvck...wametutangulia