Najisikia furaha sana baada ya kuisoma hii habari kule twitter.Wengine mzuka wa mechi ushakata....
Tunajiandaa kwenda dukani kununua kanzu na hidhrani
View attachment 2519645
Kuna haters wamepeleka malalamiko FIFA
Kawafukuzisha kazi makocha wengi, huyu bahati yake kastuka mapema.Ila maisha yanabadilika fasta sana aisee..
Maguire haamini anavyokuwa bench warmer sasa hivi.
Kweli..sub hakuna mtu kabisaSub aina kitu mkuu garnacho ni wa kutokea sub tu umeiona sub aina wachezaji wa maana kabisa.
NgumuGOAL: WEGHORST
ASSIST: SANCHO
Tunatest mitambo.
Ile game ya Arsenal alivyotolewa ule upande kisha akaingizwa Fred team iliyumba, mpaka baadar sana alipokuja kumuweka Garnacho.Kuna watu humu hua hawaoni kabisa mchango wa Anthony kwenye timu, ila yule jamaa pamoja na maujingaujinga yake hua analeta balance kubwa sana kwenye timu.
Uwepo wake hua unapunguza kwa kiwango kikubwa mashambulizi upande wetu. View attachment 2519238
Anacheza sana ndani upande wake umekuwa uchochoro kwa BarcaOne Bisaka ni None Player