Bahili uyu, sidhani.
Huwa tunasema "anataka aongezewe maslahi huko alipo"
Nafikiri ni ishu ya manunuzi ya klabu ya manchester united.Huwa tunasema "anataka aongezewe maslahi huko alipo"
Ubovu upi unaouzungumzia?Werghost ni mbovu tu.
Hakuna cha kunyimwa pasi wala nini.
Tena bola kipindi cha pili alipo badilishwa posession kidogo nilimuona.
Ipige tu mbele itakutana na mtu hahahBongo vipi?
Au ni butua butua
Vipi mmeshinda ?Unyumbu, hesabu nyingi sana,, kama mko serious vile ila wakat wenu unakuja,
Tumepigwa,, sasa ndio tunaanz ligi rasmiVipi mmeshinda ?
Tofauti yetu na mtu wa 5 ni alama 7!Game ya city na arsenal Ni muhimu kwetu,,,,
Matokeo yake yataonyesha uhalisia wa utd kujihakikishia top 4 !
City ashinde au itoke droo
Kiporo kingine cha Man city mtafungwaTumepigwa,, sasa ndio tunaanz ligi rasmi
Siku zote Kuna watu mna akili Sana ya Mpira Mkuu.. nilisema hapa, asernal ajipa matumaini kuongoza ligi si kushinda kombe. Kitofunhwa mechi 20s na kitu si kutokufungwakabisa.Arsenal iliyo na msimu bora kabisa imeizidi pointi 5 manchester united iliyo na msimu mbaya baada ya michezo 23 ya ligi!
Sasa wale watoto wa arsenal wanaanza kuuona ukweli uliokuwa ukisemwa mara kwa mara na mashabiki wenye kuujua mpira.