Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Screenshot_20230216-120529_Instagram.jpg
 
Game Kama hii tunammiss Sana Anthony,,,,

Ule upande anafosi Sana hatushambuliwi kizembe ,,,,

Wacha tuone ETh atakuja na mpango mkakati wa Aina gani !
Kuna watu humu hua hawaoni kabisa mchango wa Anthony kwenye timu, ila yule jamaa pamoja na maujingaujinga yake hua analeta balance kubwa sana kwenye timu.
Uwepo wake hua unapunguza kwa kiwango kikubwa mashambulizi upande wetu.
Screenshot_20230117_155817.jpg
 
Kuna watu humu hua hawaoni kabisa mchango wa Anthony kwenye timu, ila yule jamaa pamoja na maujingaujinga yake hua analeta balance kubwa sana kwenye timu.
Uwepo wake hua unapunguza kwa kiwango kikubwa mashambulizi upande wetu. View attachment 2519238
😂 Wataanza kuelewa sasa maana kuna mashabiki wao ni stats tu mpira hawaangalii.
 
Leo pale CAMP NOU nitaangalia mechi nikijiamini maana kocha la mpira lipo bench. Ila ile atmosphere ya pale siyo mchezo plus kikosi walichonacho Barca siyo mechi ya kizembe kabisa.

Hizi ndiyo aina ya mechi tunahitaji vijana wetu waweze kukomaa kiuzoefu na kiakili. Experience ya kucheza Camp Nou tena against Barca ni bahati sana kwetu aina ya hizi timu unakutana nazo kwenye UCL tena hatua za Semis.

Vijana wakiweza kucheza kwa kutulia leo itatusaidia kuelekea mchezo wetu wa fainali vs Newcastle maana leo uwanja mzima utakuwa against us ila Wembley tutakuwa na mashabiki wetu.

#GGMU
 
Back
Top Bottom