ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,992
Y'll neer walk aloneKwa wanaochek mechi ya liva huu wimbo wanaoimba mashabiki unaitwaje [emoji2]
Y'll neer walk aloneKwa wanaochek mechi ya liva huu wimbo wanaoimba mashabiki unaitwaje [emoji2]
Huyu jamaa naona kabisa tukimchukua permanent, maana hata hii loan deal jamaa hakuwaza mara mbili na ka push kuja kwetuMarcel Sabitzer: “It’s a loan at the moment, that’s all I can say. I like it here. I’m feeling very good here. I like the team, I like the club, the atmosphere in Old Trafford. We will see what happens in the summer.”
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2516481
Sio hioY'll neer walk alone
Tupate historia fupi ya mtoto wa tajiri Wout Weghorst.Weghorst alifanya kila kitu muhimu second half hasa alipocheza kama second striker.
Zee la mikimbio ya hatariTupate historia fupi ya mtoto wa tajiri Wout Weghorst.
Agosti 7, 1993 mama Astrid Weghorst alikuwa amejifungua mtoto wa 3 Wout Weghorst kwa ushirika na kibopa Bw. Frans pale Borne wa Uholanzi.
Hawa ni wazazi wa watoto 4 ambao wote ni wa Kiume! Katika familia ya watu hawa hakujawahi kutokea mchezaji na hata Wout alipowaambia anataka kuwa mchezaji alipuuzwa na kutakiwa kusoma Biashara aje aendeleze utajiri.
Tangu utotoni alipenda sana mpira na licha ya kukosolewa kuanzia nyumbani mpaka kwenye klabu ya mtaani ya NEO akionekana 'kilaza' zaidi bado hakukata tamaa.
Licha ya wazazi kumgombeza aache mpira ila alikaidi na wakamruhusu acheze lakini asikose shule! Yeye aliamini shule atasoma akishindwa mpira! 2010 alijiunga na timu ya Deto lakini hakudumu sana kwani alionekana ni mrefu asiye na kipaji!
Mama yake aliamua kutumia ushoga wake na Mke wa C.E.O wa klabu ya Willem II Bw. Jan Van Esch na kumuombea nafasi mwanae atulize nafsi kwenye klabu hiyo! Alifanikiwa ila bado watu walisema ana mabavu, mkaidi na hana hatari.
AZ Alkmaar ilimsajili 2015 na licha ya kupingwa mwanzoni aliwasuta waliompinga kwa kufunga magoli 68 na assists 25 kwenye mechi 197.
2018 akasainiwa na Wolfsburg ya Ujerumani alikofunga magoli 74 kwenye mechi 127 na assists 21 kabla ya 'Disko lake kuingiliwa na Masai' alipotua Burnley! Mambo yalikuwa magumu kwani alifunga goli 2, assists 3 kwenye mechi 20 na wakamtoa kwenda Beşiktaş alikofunga goli 9 na assists 4 kwenye games 18.
Ndiye aliyewalamba chuma 2 Argentina kwenye World Cup juzi juzi! Ana futi 6.6 na ni mrefu zaidi pale United na wa pili baada ya Van De Sar!
'Va'uti Veghost' ni mmaliziaji mzuri ingali ana 'Footwork' mbovu tu kama walivyo waviziaji wengi duniani! Anaenda kuongeza 'Vurugu' ya United kwenye boksi la wapinzani.
Shida yake kubwa ni kutolinda kiwango chake na ukaidi! Akiwa kwenye ubora wake ni ongezeko la faida mno! Ni mume wa mrembo mwenye akili kubwa, Nikki Van Esch na hudaiwa kufikiria sana mechi! Siku 2 kabla ya mechi hujitenga chumba na mkewe... Pia hapendi bugdha!
Ana Masters ya Biashara! Anacheza mpira kwa furaha zaidi! Familia yao kwa sasa ina petrol station za mafuta zaidi ya 130! Kiufupi sana!
Credit: Nazareth Upete
Ban ya nini tena?Martinez game ya Barcelona kwanza hata hachezi..ana ban.
Werghost ni mbovu tu.Mimi bado nakazia kocha inabidi anunue straika wake mwenyewe awa walipo watamuangusha maana wanataka wafunge wao tu siku wakiwa out of form tumeliwa. Tunahitaji timu icheze kwa ushirika kuanzia nyuma hadi mbele sasa leo dakika zote straika Weighorst hapewi mpira na hili ni tatizo mechi karibu zote.
Mshua hawa vinega tunawapasua hivyo hivyo wasikupe hofu as long as Casemiro, Varane na Rashford wapo uwanjani.Ban ya nini tena?
Hawa Barca siwatapata la kuongea hawa!!!
Na hamuupatiWe kuku maji tulia.
Mtu upo nafasi ya 10 unakuja kupiga kelele kwa wafukuzia ubingwa?
Hii kwetu ni baraka, Shaw na Varane watasimama wakilindwa kwa juu na Casemiro.Martinez game ya Barcelona kwanza hata hachezi..ana ban.
Bongo vipi?Siku hizi timu nyingi za ulaya zinajenga mashambulizi kwa kutumia wachezaji watatu nyuma.
Sisi 3-1-6, 3-3-1-3,
Bongo muulize DEJAN7Bongo vipi?
Au ni butua butua
Ila maneno mengi ndio maana sijawahi pick hizi timu mbili tulizonazo, kama hawapo serious kabisa.Bongo muulize DEJAN7
Niliangalia mechi ya simba na prison nikaduwaa....
Space kati ya mchezaji mmoja hadi mwengine ni kubwa sanaaaaa.
Mpira wa tanzania ni rahisi sana kucheza
Ndio kwa uelewa wangWakuu nina swali kidogo.
Ivi tajiri akitokea Akanunua club ya Mpira wa miguu. mfano kainunua Man united, Kila kitu kinachohusiana na man united kinakuwa ni Mali yake?. mfano viwanja vya mazoezi na vya MECHI( CARRINGTON na OT) navyo vinakuwa ni Mali yake?.
Hapana kununua club means unanunua kikosi cha kwanza chote na kocha tuWakuu nina swali kidogo.
Ivi tajiri akitokea Akanunua club ya Mpira wa miguu. mfano kainunua Man united, Kila kitu kinachohusiana na man united kinakuwa ni Mali yake?. mfano viwanja vya mazoezi na vya MECHI( CARRINGTON na OT) navyo vinakuwa ni Mali yake?.