@Adminis please apigwe ban huyu mtu kama alivyotakaView attachment 2514529
Kila la kheri Leeds united
MANYUMBU MISUKULE Mkipata hata droo Nipigwe BAN LA MWAKA
Wewe ni mchawi nini? [emoji16][emoji16][emoji16]Manchester inacheza leo na dunia yote ina huzuni[emoji22][emoji22][emoji22]
tumempoteza mwana Manchester mwenzetu AKA tukae kimya kwa dk moja kumuenzi[emoji22]
hawa ndo mashabiki sasa Mpaka wana tatoo za timu ni uzuni kwakweli kwa fans wa United wote duniani[emoji22]
Anyway ushindi leo lazima
Prediction
Leeds United 0 vs Manchester United 2
GGMU[emoji3590][emoji3590]View attachment 2514563
Akiwa anakimbia ananifurahisha kweliWegosti hapigi nyeto kweli wakuu? Mbona ile miguu kama haina uroto
Sababu itayo fanya sabitzer hakose game dhidi ya Barcelona.Wachezaji wetu ambao watakosa game dhidi ya Barcelona.
Antonio martial injury
Antony do Santos injury
Lisandro Martinez yellow card
Marcel sabitzer yellow card
Christian ericksen injury
Scott McTominay injury
Uzuri ni kwamba casemiro ni mzima wa afya.
Itabidi tuwe kwenye ubora wa aina yake ili kukimaliza hiki kisiki salama..Hii hatari angalau tukishinda 3 out of 4 itakuwa vema zaidi.View attachment 2515865
Pia tusipate injury.Itabidi tuwe kwenye ubora wa aina yake ili kukimaliza hiki kisiki salama..
Nimefurahi sana FRED kuwa Man of the Match. Jamaa anaupiga sana.Weghorst man of the Match
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka sana hii moment jamaa anamuone fred na ushort wake anageuka nyuma anakuta jitu linamuangalia nae ashakuwa short[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2515001
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
[emoji16]kwa mpira huu mkishinda leo niitwe mbususu..
Darmian hii SMS unaikimbia kama vile kituo cha Polisi maana yule yule uliyempomda (Fred) ndiye kawa Man of the Match jana [emoji4]Mechi ijayo usipomsifia Fred nimekaa pale [emoji117][emoji143][emoji4]
Mchezaji akizungua game fulani ni lazima tuseme waziwazi..Darmian hii SMS unaikimbia kama vile kituo cha Polisi maana yule yule uliyempomda (Fred) ndiye kawa Man of the Match jana [emoji4]
FT.
Leeds Utd 0:2 Man Utd
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kazi ipo na mwamba anaubonda haswa napenda anavyofosi kupiga mashuti golini...kwaio hii game ya barca tusitarajie makubwa kwani tuko na hali ya hatari kidogoSababu itayo fanya sabitzer hakose game dhidi ya Barcelona.View attachment 2515698