D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Kikosi kilivuja tokea saa 9 mchana,Watu wachawi sana.
- Nilishajua luke shaw na maguire wanaanza beki wa kati
- Sabitzer na fred eneo la midfield.
- Wala si uchawi brother
Kikosi kilivuja tokea saa 9 mchana,Watu wachawi sana.
Aaah! Leo sijapita sana Twitter sikuona. Ngoja tuone leo tunatokaje.Kikosi kilivuja tokea saa 9 mchana,
- Nilishajua luke shaw na maguire wanaanza beki wa kati
- Sabitzer na fred eneo la midfield.
- Wala si uchawi brother
Cheki lichawi hiliOops should be 1-0, Summerville
Kesho kutwa hapo kuna barca mnataka kocha afanyaje.Kuna siku nilisema huyi kocha ni "mjinga" watu wakanijia juu. Kuna mtu angeweza kuhisi Maguire, Dalot, Whergost wataanza leo?
Bora sijaenda kutazama mechi... nilivoona tuu kikosi nkajua apa amna shughuliNaona Maguire yuko slow kinoma, Sijui anataka kuchangamka tukishafungwa!