Sasa una-dominate mechi halafu conversion rate kwa dk 90 unakuwa sawa na opponent wako. 😂Angalia takwimu utajua yupi mbovuView attachment 2496143
Kwahiyo mliondoka na point 3?Sasa una-dominate mechi halafu conversion rate kwa dk 90 unakuwa sawa na opponent wako. [emoji23]
Arsenal hamna timu ya kubeba EPL.
Ww Ni mropokajiHizi ndiyo aina ya mechi zinawapa kiburi Arsenal [emoji16]
7 shots on target conceded against Spurs (wakiwa na DM wao) halafu timu kama United ambayo ilipata a total of 4 shots on target against City ni mbovu kwasababu watacheza Emirates.
United wakiwa away wana 1.67xG. A proper humbling ndiyo kitu itawafaa Arsenal, wanajisahau sana.
View attachment 2486472
[emoji16]Point 3 muhimu leo tukae namba 2
HeheeeCndio hapo mkuu, hiyo jay pili watajua hawajui.
Unajifariji Sana na hi timu ya wazeeArsenal hii mechi hawatoboi. Kipigo ni palepale Emirates.
[emoji1787]Kaka malizana na timu ya weusi kwanza, mambo ya Partey baadae
Alikuwa hajakutana na nketiaBissaka amekuwa [emoji91][emoji91][emoji91]
Soma hizo stats angalia na matokeo halafu utasema nani mropokaji.Ww Ni mropokaji
Daahhh hawa wa Qatar wana pesa kama uchafu, Man Utd ikiangukia kwenye mikono yao kina Arsenyani na Kroenke's wao watateseka sana kipindi cha usajili, maana hizo £100m za Anthony zinawauma kwelikweli utafikiri zimetoka kwenye mifuko yao.Sources close to Qatar Sports Investments have confirmed that there is interest in Manchester United.
#TheAthletic
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2496175
Rio FerdinandDaahhh hawa wa Qatar wana pesa kama uchafu, Man Utd ikiangukia kwenye mikono yao kina Arsenyani na Kroenke's wao watateseka sana kipindi cha usajili, maana hizo £100m za Anthony zinawauma kwelikweli utafikiri zimetoka kwenye mifuko yao.