Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo tumetoa recipe ya jinsi ya kucheza na city pia jinsi ya kumzuia Halaand asipige shot ndani ya dakika 90 ndani ya lango lako.
Arsenal chukueni darasa hilo kwa matumizi ya baadae,hawa sisi msimu huu hatuna shughuli nao tena.
 
Haalland ni Kibu Denis aliyechangamka isipokuwa tu mfumo wa Mwa-City unambeba.

Kuna Kenge wanamlinganisha Haalland na King Mbappe kiubora katika kufunga magoli, hakika Wajinga hawawezi kuisha duniani
emoji1787.png
Lile li haalland kinacholibeba Ni ungongoti tu lakini hamna sticker pale kabisa, wanaomlinganisha mbape na hicho kituko basi madishi yao yashayumba
 
Leo tumetoa recipe ya jinsi ya kucheza na city pia jinsi ya kumzuia Halaand asipige shot ndani ya dakika 90 ndani ya lango lako.
Arsenal chukueni darasa hilo kwa matumizi ya baadae,hawa sisi msimu huu hatuna shughuli nao tena.
City nitamkung'uta kama napiga mwizi
 
Na-enjoy sana siku hizi, Chelsea anateseka, Liverpool wanakimbizwa na Brighton sasa hivi. Arsenal siku siyo nyingi upepo utakata hasa nikikumbuka hawajakutana na City hata mara moja maana yake points 6 zipo kwenye mstari.

Liverpool kapigwa kamba ya pili hapa
 
Aaron wanbissaka huyu jamaa apewe heshima yake ya pekee pale Manchester United huyu jamaa katulia tuli alafu anakiwasha hatari kila game %zake zimekaa vizuri yule Dalot anaforce namba Ila kwa huyu mzeiya n Moto.

Sifa na pongezi zangu ziende kwa Aaron Wanbissaka
Nimeshangaa leo anapiga chenga wachezaji watatu wa city na bado anatoa pasi inafika
 
Back
Top Bottom