kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,727
- 20,533
Kulinda Ni mzuri, ila attacking sio mzuri Sana,,,, dalot anajitahidi ku-offer vyote !!!!Aaron wanbissaka huyu jamaa apewe heshima yake ya pekee pale Manchester United huyu jamaa katulia tuli alafu anakiwasha hatari kila game %zake zimekaa vizuri yule Dalot anaforce namba Ila kwa huyu mzeiya n Moto.
Sifa na pongezi zangu ziende kwa Aaron Wanbissaka
Sifa nyingine ya AWB anakaba kwa nidhamu kiasi Hana panic