Hadi mapumziko Man City hakuna shuti lililolenga goli.Da bruine kawekewa Fred hajagusa mpira
Mahrez kawekewa Malacia hajagusa mpira![]()
Anataka record ya kufunga mechi 8 mfululizoUchoyo lkn angeachia kwa bishoo ilikuwa kamba
Mkuu Sema mabingwa arsenal tu, mbona simple tuBila shaka ww ni Arsenal![]()



Si umeona jamaa anavyotembea na KDB?Fred yupo ndani leo, unakiongeleaje kikosi?
Amefanya kazi nzuri, aimalizie sasa 2nd halfSi umeona jamaa anavyotembea na KDB?
Mkuu usimchanganye Rashford na watu wa hovyoRashford na Martial wanatakiwa wacheze kwa nguvu na akili sana ili kupata matokeo dhidi ya City.
Tufanye Thomas Partey is among them...I hate to be right, Kuna mtu humu alikuwa anamcompare Casemiro among the elites holding midfielders itl. Njoo tena bruv utuambie uliona nini.
Sijajua kwa nini Shaw hajaonekana kabisa leo. Beki ya kushoto ndio inam-fit zaidi.Vijana wamejitahidi Case, Fred, Malacia....
Tuone kipindi cha pili nani ataibuka kidedea
Amepewa likizo ya special training, ila muda si mrefu atajiunga na wenzake.Hivi Sancho ana issue Gani?

Amepewa likizo ya special training, ila muda si mrefu atajiunga na wenzake.Hivi Sancho ana issue Gani?