Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huo upande wa beki ya kushoto ya malacia ndio ulikua uchocholo, wa magoli ya man fisi. Cjui kocha ameona niny mpaka kumuweka malacia hapo.
 
Malacia ile game alicheza vibaya na kidogo tu angekula red..Leo itabidi atulize akili sana..na Shaw amsaidie upande huo.

City tukiwakamata kwenye flanks naamini tutafanya kitu..sina shaka na AWB,naamini atamweka mtu mfukoni.
 
Fred leo kapewa chance atakiwasha sana hapo kati, ule mguu wale uko kama una sumaku. Garnacho angeanza ili ampe Walker yellow card ya mapema ashindwe kucheza, lakini kuna wakongwe hapo ni ngumu sana dogo kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…