Naomba consider fixture & tableUshauri wangu Fikira za Ubingwa ziweke mbali kabisa.
Wenye haki ya kuwaza ubingwa kwa sasa Ni Arsenal na Man City.
Sisi Man U tuko kwenye Form nzuri, tusubiri mwezi March tuone tutakuwa wapi.
Hapa kati kila wiki tuna mechi mbili, mashindano manne, kuna kupoteana hapo.
Kwa sasa tunatakiwa kuwazia Gemu inayofuata tuu.
Ushauri tuu kwa mashabiki wenzangu wa Manchester United.