Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

DEAL DONE[emoji736] Man Utd have signed Wout Weghorst on loan from Burnley until the end of the season. Man Utd have paid Beşiktaş a €3M fee as the 30 year old was on loan there from Burnley[emoji460]️
Source?
 
Wout François Maria Weghorst ni mchezaji ambaye hayuko hata kwenye first team ya championship club inayoitwa Burnley, na ninyi ndio mnamfanya replacement ya Cristiano Ronaldo. Mnamnunua kwa mil 3. Are you serious kweli au ndio strategy mpya baada ya kuwanunua wachezaji wa mil 100 wakashindwa kudeliver?
 
Kwa mkopo..
Miezi 6
Kutoka besiktas
Ww umia sie tunasema #Ghost mjengon
 
Kwa hii momentum timu ime-gain , city hawezi kutusumbua Sana ! Tukiweza kuwathibiti KDB na Bernado kazi imeisha,,,, haaland kule mbele atakosa malisho ataishia kuruka ruka tu !!! Fodeni pia Ni mchezaji mwingine wa kumuangalia !!!

Kwa miaka ya hivi karibuni nadhani msimu huu ndo city hawana beki nzuri ,,, rotation Sana au na majeruhi pia ?

Grealish Nini kimempata ? Hakuna anaemzungumzia, japo hapati Sana nafasi lakini Namba hazidanganyi , hata hizo chances chache hajaweza kuwa mwiba Kama alivyokuwa pale Villa Park !
Grealish hakuna kitu mule.. Ni vile tu kazaliwa Uingereza lakini kwa akili ya moira huenda chama akawa bora kwake.
 
Now that Wout Weghorst is now a Manchester United player:-

[emoji736] We can now expect a combative center forward.

[emoji736]We can now rest from criticizing the laziness of Anthony Martial.

[emoji736] We can now brag of having a natural no.9 (a proper finisher)

[emoji736] We expect more goals (headed goals)

[emoji736] We expect a frontman that dominates in the air against defenders.

[emoji736] We become a trait during set pieces (free kicks & corner kicks)

[emoji736] More crosses from our wing forwards ( remember we have creative midfielders like Bruno Fernandez & Christian Erikson)

[emoji736] More creativity, more goals

Indeed the premier League is just starting
 
Huwa anacheza vizuri vs City ndo maana nimemweka.

Ukiacha hiyo..kuna faulo moja Fernandes alimdokolea jamaa akatia kambani..bonge ya goli,na game hiyo tulishinda pia.
Hiyo game naikumbuka, Fernandes alipoga faulo ya akili sana sikuile, ile game Tominay alikichafua balaa.

Ila OLE alikuwa anammudu sana PEP, game nyingi sana tuliondoka na ushindi mbele ya City kipindi kile.
 
Wout François Maria Weghorst ni mchezaji ambaye hayuko hata kwenye first team ya championship club inayoitwa Burnley, na ninyi ndio mnamfanya replacement ya Cristiano Ronaldo. Mnamnunua kwa mil 3. Are you serious kweli au ndio strategy mpya baada ya kuwanunua wachezaji wa mil 100 wakashindwa kudeliver?
Tulia wewe KDB alikua benchi pale chelsea mpaka wakamuita flop...Pep alivyomchukua Leo kiko wapi??
 
Wout Weghorst ukimuangalia kwa mbali aina yake ya uchezaji inafanana na Luis Suarez ila kiuhalisia yeye ni Benzema mtupu, kuna vitu Cavani alijifunza kwa mtu huyu na anaposhuka kiwango anacheza kama Lewandowsky.

Nyie Kenge wa pale darajani mna matatizo mengi, mnahitaji kufanyiwa maombi ya kitaifa.
kwa beki ile ya Coulibally na genge lake huruma naona mimi, Unaambiwa huyu mwamba anakimbia yule Kylian Mbappe arudi tena twisheni.
 
Hivi
Tulia wewe KDB alikua benchi pale chelsea mpaka wakamuita flop...Pep alivyomchukua Leo kiko wapi??
We Kenge kweli, yaani KDB wa 23 na huyo mzee wa miaka 30. Alipoondoka Kelvin darajani alikuwa bado anakua na miaka yake 23, Huyo wenu anapokuja hapo kwenye mbolea akiwa katundika miaka 30 ataendelea kukua!!
 
Hahah..EtH avute simu kwa Ole ampe moja na mbili za kumkamata Pep.
Cheat Code ya Ole ilikuwa:- 1.kufunga goli la kwanza kisha unaclose spaces.

2. Kuwa quick kwenye transition lakini mnakuwa direct.

3. Kuwin ground duels zote kwa usahihi.

4. Kila unapowin mpira unaanzisha shambulizi ili Man city wasifanye pressing yao.

5. Mpira unaoingia kwenye box lako uwe dead ball, play ianze upya.

6. Kutowaruhusu City kuwa karibu na 18 yake ukiangalia mechi zote alizocheza nao walikuwa hawasogelei box letu.

7. City wako vizuri sana wide na magoli yao mengi yanatengenezewa wide alichokifanya ni kuua passing channels zote City wanapokwenda wide uliona Bissaka alivyomficha Sterling, na upande wa pili Shaw alivyomficha Bernado.
 
Ni vilabu 3 pekee vilivyoshinda Kombe la Dunia la Klabu ya Fifa nchini Uingereza.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.

Ni klabu 5 pekee ambazo zimeshinda Uefa Champions League nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.

.ni vilabu 5 pekee vilivyoshinda Uefa Europa League nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.

Ni klabu 5 pekee ambazo zimeshinda Uefa Super Cup nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
.kama unatafuta klabu ndogo kama Manchester City na Arsenal kwenye orodha hii, samahani huwezi kuzipata[emoji849][emoji849][emoji849]..
 
Back
Top Bottom