Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
South kabonda haswa mpira
I rly wish too..its very risk to battle nyukasto in final than in semi-fnlI want Newcastle in the Semis not in the final.
Sawa mtaminya hiyo kidogo.Hawa City ukiwaminya kidogo tu kumbe weupe.
#ManchesterDerby
Wewe on target ya nin tulien mpakatwe na kina nyukesoHivi man shit walikuwa hata na on target kweli mbele ya Soton?
Man City katoka?Wametuletea bwana misitu..Hayaa tumchape tena zile 3 hazikuwatosha
Upande wapili
Soton vs Nyukasto
Soton hawashindwi mjue...Anaweza kumtoa newcastle tukakutana nae final akala nyingi kama alivyokula zile 7 sijui 8 msimu 2022/2021
#GGMUView attachment 2477987
City inabidi uwabinye kwelikweli..wanapoteana..ila ukicheza kilaini laini na kuacha space lazima wakumalize.Hawa City ukiwaminya kidogo tu kumbe weupe.
#ManchesterDerby [emoji102]
Tunawagonga hapo hapo OT na hakuna kitu mtatufanya [emoji3] zile goli 6 tulizowagonga mmesahau ??City inabidi uwabinye kwelikweli..wanapoteana..ila ukicheza kilaini laini na kuacha space lazima wakumalize.
Jumamosi inabidi tuwapanikishe mapema sana..
We fala mechi ya October last year bado unafanyia reference? Mambo yamebadilika, timu yako imeshindwa kupata shot on target against Southampton halafu unakuja kujitapa hapa. Everton tu waliwanyoosha.Tunawagonga hapo hapo OT na hakuna kitu mtatufanya [emoji3] zile goli 6 tulizowagonga mmesahau ??