kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,131
- 15,723
GGMU
Trust the process
Trust the process
Elanga ni very useless kwa kweli.Haiingii akilini elanga ana dk nying uwanjan tangu msimu uanze kuliko pellistri
Huyu jamaa sijawahi hata kumuelewa aisee. Au mganga wake ndio anamfanyia vitu mpaka kupata namba XIElanga yuko slow sana katika maamuzi.
Hata kama Ronaldo alikuwa ni kivuruge ndo afukuzwe alafu Elanga anabakia? Inafikirisha kidogoElanga ni very useless kwa kweli.
Hata mimi nakisapoti icho kikosi Fred akimbie sana pale kati. Yani City inabidi tuwamwagie moto haswaaAgainst city natamani
Degea
AwB/dalot, varane licha Shaw
Casemiro Fred Bruno
Anthony rashyy garnacho
Garnacho nimempendekeza japo ana uchoyo flan/naamini ETh atamuweka sawa, ule upande pia tunatakiwa tuwe wasumbufu ili city wasije sana
Martial, ericksen waanzie benchi,,, hii mechi inatakiwa tuwe wagumu katikati !
Mnaweza kutokuona uwezo asilia wa Anthony bila kuona assist au magoli lakini ule upande jamaa anafaiti Sana defensively, ndio maana recently tunaona Kama tatizo la Beki namba mbili Kama limeisha flani hivi !
Fred uyuuyu alieanza pale ithad akapoteza mipira pale kati au Fred mwngne?? Kumpa gernacho hii game ni kumuonea...kumuweka benchi Ericksen ama shaw game kama hii ni matusiAgainst city natamani
Degea
AwB/dalot, varane licha Shaw
Casemiro Fred Bruno
Anthony rashyy garnacho
Garnacho nimempendekeza japo ana uchoyo flan/naamini ETh atamuweka sawa, ule upande pia tunatakiwa tuwe wasumbufu ili city wasije sana
Martial, ericksen waanzie benchi,,, hii mechi inatakiwa tuwe wagumu katikati !
Mnaweza kutokuona uwezo asilia wa Anthony bila kuona assist au magoli lakini ule upande jamaa anafaiti Sana defensively, ndio maana recently tunaona Kama tatizo la Beki namba mbili Kama limeisha flani hivi !
Fred Akiamka vzr pale Kati atakimbia Sana, ana mapafu Sana huyu jamaa ! Ericksen na martial wataingia kipindi Cha pili kulingana na mechi itakavyokuwa !Fred uyuuyu alieanza pale ithad akapoteza mipira pale kati au Fred mwngne?? Kumpa gernacho hii game ni kumuonea...kumuweka benchi Ericksen ama shaw game kama hii ni matusi
Fred hatoanza ETH anasema zile sub zake 3 za Rashford Eriksen na Casemiro zilikuwa za kimkakati ili kuwapa game rhythm hao wachezaji======
De Gea
AWB Varane Martinez Shaw
Fred Casemiro Fernandes
Anthony Martial Rashford
======
Kama Martial atacheza utopolo kwenye first 45mn..nitamtupa nje mara moja..na kikosi kuwa hivi;
======
De Gea
AWB Varane Martinez Shaw
Fred Casemiro Erisken
Antony Fernandes Rashford
=====
Fernandes kama false 9.
Martial alipiga kamba mbili safi kabisa pale eti had siku ile, sasa advantage ipo kwake old trafford msenge yule alafu azingue sasa======
De Gea
AWB Varane Martinez Shaw
Fred Casemiro Fernandes
Anthony Martial Rashford
======
Kama Martial atacheza utopolo kwenye first 45mn..nitamtupa nje mara moja..na kikosi kuwa hivi;
======
De Gea
AWB Varane Martinez Shaw
Fred Casemiro Erisken
Antony Fernandes Rashford
=====
Fernandes kama false 9.
Kwanini ?Hakuna mchezaji humu
Huwa anacheza vizuri vs City ndo maana nimemweka.Martial alipiga kamba mbili safi kabisa pale eti had siku ile, sasa advantage ipo kwake old trafford msenge yule alafu azingue sasa