Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Mainoo ndio Nani?
Huyu hapa
20220908_162142.jpg
 
Against city natamani

Degea

AwB/dalot, varane licha Shaw

Casemiro Fred Bruno

Anthony rashyy garnacho

Garnacho nimempendekeza japo ana uchoyo flan/naamini ETh atamuweka sawa, ule upande pia tunatakiwa tuwe wasumbufu ili city wasije sana

Martial, ericksen waanzie benchi,,, hii mechi inatakiwa tuwe wagumu katikati !

Mnaweza kutokuona uwezo asilia wa Anthony bila kuona assist au magoli lakini ule upande jamaa anafaiti Sana defensively, ndio maana recently tunaona Kama tatizo la Beki namba mbili Kama limeisha flani hivi !
 
Hata mimi nakisapoti icho kikosi Fred akimbie sana pale kati. Yani City inabidi tuwamwagie moto haswaa
 
Back
Top Bottom