Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Una hali gani huko uliko we kocho mtumia Tecno [emoji38][emoji38][emoji38]
Mtake radhi Mtakatifu Anne, huko Upundani alipo ameshapachoka kutokana na mizigo mizito ya mateso na vipigo vya mara kwa mara.
Amenidokeza muda wowote kuanzia sana atajiunga rasmi na chama dume Man Utd ili kurudisha furaha na amani ya moyo wake iliyopotea takribani miongo miwili aliyopita.
Juzi alikua analia kwa uchungu sana huku akimuomba Carrasco putin amsaidie kuulizia gharama za kujiunga na timu inayopendwa zaidi duniani Manchester United.
 
Kwa hiyo hiki ndio kikosi chake serious!!! [emoji38][emoji38] Huyu kocha bhana, kwanza wachezaji wake aliowaleta wote wamefail...Anthony, Van de Beek, Malacia, Lisandro pekee ndio anaonekana mtu. Hawa kina Martial aachane nao mapema huwezi kuwa na mchezaji mvivu kiasi hiki, Rashford anapambana lenyewe linatembea tu.
10 Hag hajamleta Van de beek mkuu
 
Fowards zetu butu, utoto mwingi amna mtu wa kufanya maamuz magumu wanaruka ruka tuu huyo antony mbwembwe nyingi mwisho watu wanachukua mali, akipiga pasi nying hazifiki
Antony ana tabia za dada yake neymar talent yke ni kubwa shida anajiona yeye n mkubwa kumbe ndo chipkizi anatakiwa kuendelea kujifunza ili afike anapotaka vile vile man u kuna tatizo la muendelezo wa vipaj jordan sachon ametoka Dortmund akiwa bora lakin now kiwango chake kimeshuka alikadhalika malacia vile vile kiwango kimeshuka kocha hayafanyie kaz hayo ila ingizo la casemiro na eriksen limefanya man u tuwe bora san hao viungo ndo wanafanya safu ya ulinzi kuwa bora san luke shaw good perfomance akiwa katikat anaondoka na mali juu kuobgeza namba ya attack ni kitu tofaut teg amekifanya utd
 
Hatuwezi kushinda chochote kwa wachezaji kama martial na Anthony [emoji706][emoji706]
Washabik kama nyiny huwa nasemaga s watu wa mpira mchezaj akiperfom unasifia akiwa chin ya kiwango makasiriko atuchukui kikombe una mda gan umechukua kikombe wewe shukuru teg hag amekuja kuibadilisha team ilikuwa kweny hali mbaya na ushindan wa namba ukiwa mdogo kiwango cha mchezaj kina kuwa kinashuka tunamajerui kam sacho akirud akiwa anaingia kutakuwa na compete hpo utaona wanakaza na akisajiliwa strike na winga mwengine utoona utoto ukirtokoa kwa asilimia kubwa watakuwa na nidhamu kwa maana anajua akikosea nakaa bech
 
Hivi yule Gray wa Everton Man U huwa hawamuoni. Tangu akiwa Leicester alikuwa [emoji91] balaa
Wa kawaida sana halafu umbo Lake hatofautiani sana na Amad Diallo.

Ila ndiyo mchezaji pekee wa Everton nnayemkubali, huwa nikiona tu Everton najua Gray atafanya unyama ila kwa kiwango chake cha sasa na watu tulionao watazidi kujazana tu mawinga wenye quality sawa.
 
Greenwood kesi yake haijaisha na unavyowalaumu United ni uongo kwasababu United bado wana mkataba naye wamepisha kwanza mahakama iamue kesi yake ndiyo wajue hatma ya Greenwood.

Akikutwa hana hatia wala timu haina shida, tatizo kubwa litakuwa mashabiki, itakuwa vigumu kwake kupokelewa vizuri OT.

Kesi yake itaendelea tena November 23, 2023 kipindi ambacho tayari msimu mpya 2023/24 utakuwa umeanza na namba yake kikosini itakuwa ishapotea. Kama atakutwa hana hatia Greenwood kucheza tena football maybe 2024.
Dogo alikuwa na bright future ila ndo hivyo tena..kipochi manyoya kimemponza..

Angekuwa ameiva sana saivi naamini hivyo.
 
Dogo alikuwa na bright future ila ndo hivyo tena..kipochi manyoya kimemponza..

Angekuwa ameiva sana saivi naamini hivyo.
Angekuwa mchezaji muhimu sana kwa United muda huu tena chini ya EtH angekiwasha sana.

Wenyewe wanasema "A custodial sentence is inevitable if a person is found guilty of attempted rape." na ana mashitaka matatu, sijui atachomokaje hapa.

Hii kesi social media ndiyo imeichochea zaidi, watu hawataki kingine zaidi ya haki kwa yule binti.

Greenwood f*cked up big time!
 
Seventh-straight win for Manchester United [emoji57]

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230107_131410_727.jpg
 

Attachments

  • IMG_20230107_131300_615.jpg
    IMG_20230107_131300_615.jpg
    163.4 KB · Views: 18
Back
Top Bottom