Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi nyota yetu ipo kwa makipa, huwa hatutaki mchezo. Kuna kipindi tulikuwa na Valdez, De gea na Romero msimu mmoja.
Shida yetu kubwa hua ni beki na mshambuliaji pale mbele, upande wa beki tokea ujio wa Lisandro Martinez naona ukuta umeimarika, ila pale mbele kwa kumtegemea Martial tutafeli vibaya mno endapo Rashford ataumia.
 
Wanatafuta Mshambuliaji ila ndo wa bei ya mafungu,

Report ni huyo Felix, wamepeleka 4m na Atletico wanataka 12m, ngoja tuone.
 
Shida yetu kubwa hua ni beki na mshambuliaji pale mbele, upande wa beki tokea ujio wa Lisandro Martinez naona ukuta umeimarika, ila pale mbele kwa kumtegemea Martial tutafeli vibaya mno endapo Rashford ataumia.
Hakika Jombaa. Binafsi sina imani sana na Martial kwanza hana uhakika wa kucheza mechi 5 mfululizo bila injuries.

N.B Martial dhidi ya City huwa hajawahi kuniangusha.
 
Hakika Jombaa. Binafsi sina imani sana na Martial kwanza hana uhakika wa kucheza mechi 5 mfululizo bila injuries.

N.B Martial dhidi ya City huwa hajawahi kuniangusha.
Martial nimemwangalia hizi game ligi ilivyorudi baada ya World Cup,,daah kusema ukweli anakatisha tamaa..Tumebaki na Rashford tu..sasa hii sio nzuri hata kidogo.
 
Napita hapa kijiwe nongwa vijana wana tabasamu kweli kweli kama wameambiwa kuna bia za bure kumbe amna bwana nimewauliza kuna nini hapa wame jibu.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Manchester united 1 vs Everton 0

Time

Saa 5 usiku

Last match

Everton 1 vs manchester united 2

GGMU[emoji83]
1672933183893.jpg
 
Everton leo kayakanyaga lazima achapike pale kwenye vile vitofali vya kuchoma.
Ila hizi mechi za saa 11:00 zimeshaanza kunichosha, utafikiri tunaangalia La Liga banaa.
Mechi za saa 5 zinakera kinoma ilisababisha nikaikosa mechi ya Nottingham Forest nilipumzika lengo saa 5 ikifika nicheki game nakuja kushtuka mechi ishaisha.

Sasa hivi UK kipindi cha winter washabadili saa yao kutoka BST to GMT.

Hizi mechi za United siyo za kukosa siku hizi ni full entertainment. Msimu huu nimekosa mechi 3 tu: ya Spurs na Chelsea nilipata matatizo zikanipita.

#GGMU
 
Back
Top Bottom